nyama roast |
kuku |
pilau |
wali |
sambusa |
viazi |
kachumbari |
TUKUNDANE WOMEN GROUP
Tunatoa huduma ya chakula (catering) kwenye shughuli mbalimbali kama vile:-
- Harusi
- ubatizo
- kipaimara
- Misiba
- na shughuli nyingine zinazohitaji huduma ya chakula
KUNDI A: TSHS 8500/=(kwa sahani moja)
- Kuku robo
- Wali au Pilau
- Sambusa
- Tambi
- Kiazi
- Nyama roast
- Ndizi roast
- Mbogamboga
- Kachumbari
- Chachandu
- Tunda
- Kuku robo
- Wali/Pilau
- Sambusa
- Tambi
- Kiazi
- Mbogamboga
- Kachumbari
- Chachandu
- Tunda
- Kuku robo
- Wali/Pilau
- Sambusa
- Tambi
- Kiazi
- Kachumbari
- Chachandu
- Tunda
Pia tunapokea oda ya sambusa kwa anayehitaji kuanzia sambusa 100 na kuendelea kwa Tshs 400/= kwa kila sambusa.
Kwa wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake, Mbozi na vitongoji vyake, Tunduma na vitongoji vyake mnakaribishwa nyote. Kwani kwetu sisi mteja ni MFALME.
NB: Katika oda zote tunatumia kuku wa kienyeji kwa kuwa tunajali afya ya mteja wetu na kumpa kilicho bora
TUKUNDANE WOMEN TUNAPATIKANA VWAWA MJINI KWA MAWASILIANO TUPIGIE SIMU KWA NAMBA ZIFUATAZO:-
+255 753 390 702
+255 756 142 398
NYOTE MNAKARIBISHWA
ASANTE KWA KUTUJUZA
JibuFuta