Ijumaa, 3 Julai 2015

TUKUNDANE WOMEN GROUP





nyama roast


Tokeo la picha la kuku wa kukaanga
kuku
Image result for pilau
pilau
Image result for wali wa maua
wali
Image result for samosa
sambusa
Image result for potato
viazi
Image result for chilli sauce recipe
chachandu
                       

Tokeo la picha la matunda
tunda
Tokeo la picha la ndizi za kukaanga     



ndizi roast

Tokeo la picha la mboga za majani
mbogamboga
Tokeo la picha la tambi            
tambi
Tokeo la picha la kachumbari
kachumbari  
TUKUNDANE WOMEN GROUP     
Tunatoa huduma ya chakula (catering) kwenye shughuli mbalimbali kama vile:-
  1. Harusi
  2. ubatizo
  3. kipaimara
  4. Misiba
  5. na shughuli nyingine zinazohitaji huduma ya chakula
MENU ZETU NI KAMA IFUATAVYO:-
KUNDI A: TSHS 8500/=(kwa sahani moja)
  • Kuku robo
  • Wali au Pilau
  • Sambusa
  • Tambi 
  • Kiazi
  • Nyama roast
  • Ndizi roast
  • Mbogamboga
  • Kachumbari
  • Chachandu
  • Tunda
KUNDI B: TSHS 7500/=(kwa sahani moja)
  • Kuku robo
  • Wali/Pilau
  • Sambusa
  • Tambi
  • Kiazi
  • Mbogamboga
  • Kachumbari
  • Chachandu 
  • Tunda
KUNDI C: TSHS 7000/=(kwa sahani moja)
  • Kuku robo
  • Wali/Pilau
  • Sambusa
  • Tambi
  • Kiazi
  • Kachumbari
  • Chachandu
  • Tunda
TUNATOA OFA YA SAHANI TATU BURE KWA KILA ODA:
Pia tunapokea oda ya sambusa kwa anayehitaji kuanzia sambusa 100 na kuendelea kwa Tshs 400/= kwa kila sambusa.
Kwa wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake, Mbozi na vitongoji vyake, Tunduma na  vitongoji vyake mnakaribishwa nyote. Kwani kwetu sisi  mteja ni MFALME.
NB: Katika oda zote tunatumia kuku wa kienyeji kwa kuwa tunajali afya ya mteja wetu na kumpa kilicho bora
TUKUNDANE WOMEN TUNAPATIKANA VWAWA MJINI KWA MAWASILIANO TUPIGIE SIMU KWA NAMBA ZIFUATAZO:-
+255 753 390 702
+255 756 142 398
 
NYOTE MNAKARIBISHWA                           

Maoni 1 :